OUR AFRICA

OUR AFRICA

Saturday, August 21, 2010

WHAT is good governance?How can we archieve/enhance good governance in AFRICA?how should public institutions conduct public affairs and manage public resources?What kind of political systems do we need to have?Which AFRICAN countries have recorded excellent Good Governance & Political will. LIKE TANZANIA,where are we? WHATS IS WRONG?

THE WILL OF THE WORLD

ONE TIME WITH ALL YOUR BELIEF AND SENSES YOU NEED TO STRENGTHEN YOUR PART IN YOUR THOUGHT AND WALK AGAINST THE WILL OF THE WORLD! GETTING UP FROM YOUR BED EVERYDAY YOU ARE DOING A RIGHT THING TO THE DESTINY OF THE WORLD, ITS EXACTLY THE SAME THOUGHT MAY THINK. UNAPOAMKA TUNAAMINI UNAENDA KUFANYA KAZI JAMBO AMBALO HALINA SHAKA YEYOTE UTAKUWA UNAONGEZA UHAI WA MAISHA YA VIUMBE ULIVYOVITANGULIA, KAZI YOYOTE ILE INACHANGIA MAISHA,

Unaweza kuanza kuwaza juu ya ukweli wa maisha na uhalali wa mambo mamraka zooote duniani. kikubwa unachoweza kuona ni ubinadamu pekee ndio wenye uwezo wa kuweka mamraka zoote tuzionazo au zilizowahi kuonekana. sio ajabu mtumishi wa kanisa au sheikh kukwambia amepewa mamlaka na mungu au hata hawa viongozi wa kisiasa husema pia vitu hivi. lakini ukweli uko wapi? nani anamjua huyo mungu? wanauwezo mkubwa sana wa kutumia maneno yaliyoandikwa na binadamu wengine wa kale na kutetea heshima zao katika jamii zetu! lakini ukweli ni kwamba sisi soote ni kitu kimoja na mamraka zoote walizonazo ni matokeo ya sisi kuwaruhusu kuwa nayo.

TAWALA HIZI NI NZURI SANA KWANI ZINATUWEZESHA KUISHI MAISHA YA KISTAARABU, UKWELI WA MAMBO UNABAKI PALEPALE KWAMBA HAWANA NGUVU YA KUZIDI MAAMUZI YA BINADAMU WENGI!

TUJARIBU KUFIKIRI KATIKA MAWAZO ENDELEVU YENYE LENGO LA KUIFIKISHA DUNIA KESHO YENYE UKWELI NA UFAHAMU WA WATU WOOTE. MTU ATOE SADAKA AKIJUA KABISA KUWA HIYO PESA(SADAKA) INATUMIWA NA KIONGOZI WAKE NA SI KUTUDANGANYA SISI KWA KUTUAMBIA NI YA MUNGU, BASI HUYO MUNGU WAO NI NANI SASA JE NI YULE MTOTO WA PASTOR ANAYESHIBA PESA YA MJOMBA YANGU, AU JE NI YULE ANAYETOKA NA SUTI NZURI NA ZA KUMEREMETA ZINAZIPATIKANA KWA NGUVU YA MSIFIAJI WA MAHUBIRI MAZURI SANA YA PASTOR WA LEO. ANABAKI KUSIFU TU AAH HUYU MCHUNGAJI NI BORA KULIKO YULE WA ZAMANI, HIKI NI NINI? JE NI HAKI JAMANI KUWA NA MAISHA YA HIVI YA KUDANGANYANA HAPA DUNIANI, TUAMKE TUWEZE KUTOA HUKU TUKIWA TUNAJUA KWAMBA TUNAMLIPA MHUBILI KWA KUTUMIA SAUTI YAKE KUTUDANDANYA KUWA MAANDIKO YAMETOKA KWA MUNGU NA HAYAWEZI KUBADILISHWA, NANI KASEMA.... DUNIA KILA LEO INABADILIKA NA KWA NINI BASI MAANDIKO YA WATU WA KALE TUENDELEE KUYAHESHIMU KAMA NDIO MISINGI TUPASWAYO KUISHI KATIKA. NAAMINI KATIKA KUJITAMBUA NDIO JAMBO PEKEE LA KULETA MAISHA BORA HAPA DUNIANI NA HAKUNA MAISHA ZAIDI YA HAPA CHINI NDUGU ZANGU, KUWENI MAKINI WATATUMALIZA KWA KUTUMIA NGUVU ZETU KUWALISHA WAO NA FAMILIA ZAO

OUR ELECTION OUR DESTINY!

KILA SIKU NIMEKUWA NIKIFIKIRIA UMUHIMU WA UCHAGUZI LAKINI SIONI KWA NINI TUNAFANYA UCHAGUZI? UCHAGUZI HAUTUFAI KABISA WATANZANIA NI VEMA KUUPINGA MFUMO MZIMA WA VYAMA VINGI NA DEMOKRASIA YA KIMAGHARIBI! UNAJUA ANGARIA WATU WANAVYO AIBISHANA, WATU WASOMI WAZIMA WANAJIKANA WENYEWE MAWAZO YA KITOTO NA KIJINGA ANAONGEA MTANZANIA MWENYE SHAHADA NI AIBU KUBWA SANA JAMANI,

leo anasema eti ccm au chadema au cuf ni nzuri sana na inafaa kuichagua alafu kesho anaanza kusema eti hawana uongozi mzuri hii si akili ya kibinadam jamani hawa watu wamechanganyikiwa. tuwe makini na watu hawa kwani waweza kutusababishia matatizo

UCHAGUZI WA VYAMA VINGI UNATUMIA PESA NYINGI SANA NDUGU ZANGU, KWA NINI TUNAUFANYA KILA BAADA YA MIAKA MITANO, AU NDIO KUKIDHI HAJA ZA WATAWALA WETU,

Sunday, May 16, 2010

multnations corporations

Before the end of the first colonialism African nations were properties of their colonial masters who did what they could to rape the continent of whatever resource they deem good for the development of their counties and citizens in Europe. Out of nowhere and without any consultation with the people in the continent the Europeans met and divided the continent amongst themselves in what has been termed the scramble for Africa.
Through the scramble France, Britain, Belgium, Spain, Portugal, Germany and Italy all went on a looting spree raping Africa of her resources without putting any of the proceeds back for the development of the continent. When US President Franklin D. Roosevelt visited Gambia on January 13th 1943 he was so appalled by the conditions of Gambians so much so that he made this lamentation,
"It's the most horrible thing I have ever seen in my life..... The natives are five thousand years back of us....The British have been there for two hundred years - for every dollar that the British have put into Gambia, they have taken out ten. It's just plain exploitation of those people". "I must tell Churchill what I found out about his British Gambia today". "This morning, at about eight-thirty, we drove through Bathurst to the airfield." "The natives were just getting to work. In rags…glum-looking.…They told us the natives would look happier around noontime, when the sun should have burned off the dew and the chill. I was told the prevailing wages for these men was one and nine. One shilling nine pence. Less than fifty cents." "An hour?" Elliott asked. "A day! Fifty cents a day! Besides which, they´re given a half-cup of rice. Dirt. Disease. Very high mortality rate. I asked. Life expectancy—you´d never guess what it is. Twenty-six years. Those people are treated worse than the livestock. Their cattle live longer!

Thursday, April 22, 2010

ni vizuri kufikiri lakini si kufikiri tu, ni kufikiria nini, wakati ukiwa na shida utajifunza mengi sana na mengine yatakupelekea kujifunza mengine yasiyokusudiwa. tuwe makini tunapotaka kufikiri juu ya maisha. tuangalie nini kinatufaa na kwa wakati gani my people be care and always enjoy, kila kunapokucha angalia nini akili yako inakutuma, usipoteze muda kukaa na kusali ili mradi ukiwa mzima jipe moyo jioni itafika, ukiwa unaumwa pia jipe moyo na uwahi hosipitali ni lazima upone.

Saturday, April 17, 2010

one time in life tuchukue muda na kuwaza kwa makini nini hasa tunafanya hapa duniani, ni vizuri kutambua kazi za watu wa dini na kuziheshim lakini hebu tujiulize kwa makini kabisa JE KAZI YAO INA UMUHIMU GANI? ni vizuri kusali kwa maana tunapunguza maasi, lakini je kuna umuhimu wa kusali kama wanavyou tushauli hawa jamaa, nawaombeni kuwa karibu nami ili tupate kuujua ukweli katika maisha. ningependa sana kusali kama tu ningefahamu umuhimu wa kusali tofauti na hilo la kujifaliji na kuutibu nafsi iliyokata tamaa. TUSHIRIKIANEEEEEEEEEEE...