OUR AFRICA

OUR AFRICA

Thursday, April 22, 2010

ni vizuri kufikiri lakini si kufikiri tu, ni kufikiria nini, wakati ukiwa na shida utajifunza mengi sana na mengine yatakupelekea kujifunza mengine yasiyokusudiwa. tuwe makini tunapotaka kufikiri juu ya maisha. tuangalie nini kinatufaa na kwa wakati gani my people be care and always enjoy, kila kunapokucha angalia nini akili yako inakutuma, usipoteze muda kukaa na kusali ili mradi ukiwa mzima jipe moyo jioni itafika, ukiwa unaumwa pia jipe moyo na uwahi hosipitali ni lazima upone.

Saturday, April 17, 2010

one time in life tuchukue muda na kuwaza kwa makini nini hasa tunafanya hapa duniani, ni vizuri kutambua kazi za watu wa dini na kuziheshim lakini hebu tujiulize kwa makini kabisa JE KAZI YAO INA UMUHIMU GANI? ni vizuri kusali kwa maana tunapunguza maasi, lakini je kuna umuhimu wa kusali kama wanavyou tushauli hawa jamaa, nawaombeni kuwa karibu nami ili tupate kuujua ukweli katika maisha. ningependa sana kusali kama tu ningefahamu umuhimu wa kusali tofauti na hilo la kujifaliji na kuutibu nafsi iliyokata tamaa. TUSHIRIKIANEEEEEEEEEEE...